Skip to main content

Karibu Arumex Financial Services

Tunatoa huduma bora za kifedha zinazoweza kukuza ustawi wa kifedha wako. Kuanzia ushauri wa uwekezaji hadi usimamizi wa mali, tuko hapa kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha.

 

Kuhusu Sisi

Arumex Financial Services Limited ni kampuni ya huduma za kifedha iliyoanzishwa Tanzania mnamo Septemba 2022. Tumepewa leseni na kudhibitiwa na Benki ya Tanzania ili kuhakikisha tunaendeshaje huduma zetu kwa ubora wa juu.

Thamani Zetu

Uwaminifu

Tunahakikisha uaminifu katika kila biashara tunayofanya.

Ubora

Tunatoa huduma zenye ubora wa juu ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu.

Ushirikiano

Tunaamini katika nguvu ya ushirikiano na wateja wetu na washirika.

Je wewe ni mfanyabiashara?

Unafanya biashara ya kusambaza bidhaa au huduma kwa makampuni makubwa(Supply of Goods & Services), Unafanya biashara ya kununua bidhaa kutoka kwa kiwanda au kampuni kubwa(Goods Distributor) ?

Wasiliana nasi tukupe support ya mtaji wako uweze kukuza biashara yako haraka. 

 

Huduma Zetu

Mikopo ya Supply Chain Finance

Mikopo ya kukuza mtaji wa biashara

Mikopo Distributor Finance

Huduma za ushauri wa kifedha

Mikopo ya Invoice Finance

Uwekezaji na Rasilimali

Wasiliana nasi